Mshahara wa Tutor II – Food Science Mhitaji awe na Shahada ya Kwanza (NTA 8) ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia kutoka chuo kinachotambulika. Mwombaji anatakiwa kuwa na wastani wa alama (GPA) usiopungua 3.0 kati ya 5.0 katika ngazi ya Shahada ya Kwanza kutoka taasisi inayotambulika.

Mshahara ni PTSS 3.1