
POST | MTEKNOLOJIA MSAIDIZI – DAWA (ASSISTANT TECHNOLOGIST -PHARMACY II) – 30 POST |
EMPLOYER | MDAs & LGAs |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kuandaa mahitaji na matumizi ya dawa na vifaa tiba. ii. Kuagiza, kuhifadhi na kugawa dawa na vifaa tiba katika eneo lake la kazi.iii. Kuandaa taarifa ya matumizi ya dawa na vifaa tiba.iv. Kutunza kumbukumbu za dawa na vifaa tiba.v. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Muombaji mwenye cheti cha Astashahada katika fani za Dawa kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali naambao wamesajiliwa naBaraza la Famasi. |
REMUNERATION | TGHS A. |
Tuma maombi hapa, Usitume maombi kimazoea subiria PDF ili uwe na address unayotakiwa kuweka kwenye barua ya maombi.
Pharmaceutical technician