Hili hapa tangazo la Nafasi 50 za Kazi Conservation Ranger III- Forest Guard Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na elimu ya Sekondari ya Kidato cha Nne (Form IV) au Kidato cha Sita (Form VI). Lazima awe amehudhuria na kufaulu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mgambo, au mafunzo ya Zimamoto na Uokoaji kutoka taasisi inayotambulika.

Pia, mwombaji atatakiwa kuhudhuria na kufaulu mafunzo ya awali ya kijeshi (recruit).
Tuma maombi hapa https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10405
Answer