Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Makala 360

Makala 360

Makala 360 Navigation

Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask A Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 576
Next

Makala 360 Latest Questions

Memo
  • 0
  • 0
MemoTeacher
Asked: May 20, 20252025-05-20T16:16:55+03:00 2025-05-20T16:16:55+03:00In: Fursa

Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Boat Operator TFS

  • 0
  • 0

Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Boat Operator Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form Four) pamoja na Cheti katika mojawapo ya fani zifuatazo: Usafirishaji wa Majini (Maritime Transport), Uhandisi wa Meli (Marine Engineering), Usimamizi wa Usafirishaji na Mizigo (Shipping and Logistics Management), au sifa nyingine zinazofanana kutoka taasisi inayotambulika.

Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Boat Operator TFS

Mwombaji pia anatakiwa awe na Cheti cha Lazima (Mandatory Certificate) cha uendeshaji wa vivuko kilichoidhinishwa na Chuo cha Dar es Salaam Maritime Institute au taasisi nyingine inayotambulika na Serikali/IMO, pamoja na cheti cha Rating Forming Part of Navigation Watch kilichotolewa na TASAC au taasisi nyingine inayotambulika na Serikali/IMO, na awe amehudhuria mafunzo ya angalau miezi sita (6) baharini katika huduma za Meli/Majini.

Pia, mwombaji atatakiwa kuhudhuria na kufaulu mafunzo ya awali ya kijeshi (recruit).

Tuma maombi hapa https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10414

  • 0 0 Answers
  • 0 Followers
  • 0
  • Share
    Share
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
    • Share on LinkedIn
    • Share on WhatsApp
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

Sidebar

Related Questions

  • OFFICE ASSISTANT II - 16 POST TPA

    • 0 Answers
  • SECURITY GUARD II - 50 POST TPA

    • 0 Answers
  • PLANNING OFFICER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • HYDROGRAPHER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • DIVER II - 5 POST TPA

    • 0 Answers

Trending

Ajira HESLB Kazini MASASI MDAs & LGAs Mshahara SIKONGE TPA Usaili Utumishi

Explore

© 2025 Makala 360. All Rights Reserved
Created by Makala360