Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Civil Engineer Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Shahada ya Kwanza (Bachelor) ya Uhandisi wa Ujenzi (Civil Engineering) kutoka chuo kinachotambulika.

Lazima awe amesajiliwa na Bodi ya Wahandisi (ERB) kama Mhandisi wa ngazi ya Graduate au Professional.
Pia, mwombaji atatakiwa kuhudhuria na kufaulu mafunzo ya awali ya kijeshi (recruit).
Tuma maombi hapa https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10419