Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III- ICT Officer (Programing) Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Shahada ya Kwanza (Bachelor) katika mojawapo ya fani zifuatazo: Sayansi ya Kompyuta, Uhandisi wa Kompyuta, Teknolojia ya Habari, Uundaji wa Programu (Software Development), Mifumo ya Taarifa (Information System), au Usimamizi wa Mifumo (System Administration), kutoka chuo kinachotambulika.

Pia, mwombaji atatakiwa kuhudhuria na kufaulu mafunzo ya awali ya kijeshi (recruit).
Tuma maombi hapa https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10421
Yes, I agree