Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Laboratory Assistant Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Cheti cha Kidato cha Nne (CSEE) au Kidato cha Sita (ACSEE) pamoja na Cheti katika mojawapo ya fani zifuatazo: Sayansi ya Maabara, Teknolojia ya Maabara au sifa nyingine zinazofanana kutoka taasisi zinazotambulika.

Pia, mwombaji atatakiwa kuhudhuria na kufaulu mafunzo ya awali ya kijeshi (recruit).
Tuma maombi yako hapa https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10415