Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III- Legal Officer Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Shahada ya Kwanza ya Sheria (LLB) pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Sheria kutoka Chuo cha Sheria cha Tanzania (Law School of Tanzania).

Pia, mwombaji atatakiwa kuhudhuria na kufaulu mafunzo ya awali ya kijeshi (recruit).
Tuma maombi hapa https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10412