Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Marine Engineer Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Cheti cha Kidato cha Nne (CSEE), au Kidato cha Sita (ACSEE), au Shahada ya Kwanza / Diploma ya Juu katika Uhandisi wa Meli (Marine Engineering). Awe pia na vyeti vya msingi vinavyotakiwa kwa mujibu wa STCW95, pamoja na cheti cha Rating Forming Part of Engineering Watch (RFPEW) na Cheti cha Uwezo (COC) daraja la 4.

Lazima awe amesajiliwa na Bodi ya Wahandisi (ERB) kama Mhandisi wa ngazi ya Graduate au Professional.
Pia, mwombaji atatakiwa kuhudhuria na kufaulu mafunzo ya awali ya kijeshi (recruit).
Tuma maombi hapa https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10423