Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Office Management Secretary Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) akiwa amefaulu masomo ya Kiingereza na Kiswahili, pamoja na Diploma ya Uhazili kutoka chuo kinachotambulika. Awe amefaulu mashindano ya hati mkato (shorthand) kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili kwa mwendo wa maneno 100 kwa dakika.

Pia, anatakiwa awe na ujuzi wa kutumia kompyuta katika programu za MS-Word, MS-Excel, Internet, Email, na MS-Publisher.
Mwombaji atatakiwa kuhudhuria na kufaulu mafunzo ya awali ya kijeshi (recruit).
Tuma maombi hapa https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10408