Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Quality Surveyor Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Shahada ya Kwanza (Bachelor) katika mojawapo ya fani zifuatazo: Upimaji wa Kiasi cha Ujenzi (Quantity Survey), Uchumi wa Ujenzi, Ukaguzi wa Majengo (Building Survey), au Usimamizi wa Ujenzi, kutoka chuo kinachotambulika.

Lazima awe amesajiliwa na Bodi ya AQRB kama Mtaalamu wa Upimaji wa Kiasi (Quantity Surveyor) wa ngazi ya Graduate au Professional.
Pia, mwombaji atatakiwa kuhudhuria na kufaulu mafunzo ya awali ya kijeshi (recruit).
Tuma maombi hapa https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10424