Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Record Management Assistant Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Diploma (ngazi ya NTA 6) katika fani ya Usimamizi wa Kumbukumbu (Records Management) kutoka chuo kinachotambulika.

Pia, mwombaji atatakiwa kuhudhuria na kufaulu mafunzo ya awali ya kijeshi (recruit).
Tuma maombi hapa https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10409