Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Technician (Mechanical) Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Diploma katika fani ya Uhandisi wa Mitambo (Mechanical), kutoka chuo kinachotambulika.

Tuma maombi hapa https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10410