Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Makala 360

Makala 360

Makala 360 Navigation

Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask A Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 547
Next

Makala 360 Latest Questions

Memo
  • 0
  • 0
MemoTeacher
Asked: May 20, 20252025-05-20T14:35:26+03:00 2025-05-20T14:35:26+03:00In: Fursa

Nafasi za Kazi Director of Licensing BRELA

  • 0
  • 0

Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Director of Licensing Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Mwombaji anatakiwa awe na Shahada ya Uzamili (Master) katika mojawapo ya fani hizi: Uchumi, Sheria, Uchumi wa Kilimo, Biashara ya Kilimo, Takwimu, Biashara ya Kimataifa, Uchumi na Fedha, Masoko, Ujasiriamali, Usimamizi wa Biashara au fani nyingine inayofanana kutoka taasisi ya elimu ya juu inayotambulika. Shahada ya Uzamili hiyo inatakiwa iendane na Shahada ya Kwanza (Bachelor).

Nafasi za Kazi Director of Licensing BRELA

Pia, mwombaji anatakiwa awe na uzoefu wa kazi wa angalau miaka KUMI (10) katika fani zinazohusiana, ambapo kati ya hiyo, angalau miaka MIWILI (2) iwe katika nafasi ya uongozi.

Tuma maombi hapa https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10427

  • 0 0 Answers
  • 0 Followers
  • 0
  • Share
    Share
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
    • Share on LinkedIn
    • Share on WhatsApp
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

Sidebar

Related Questions

  • OFFICE ASSISTANT II - 16 POST TPA

    • 0 Answers
  • SECURITY GUARD II - 50 POST TPA

    • 0 Answers
  • PLANNING OFFICER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • HYDROGRAPHER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • DIVER II - 5 POST TPA

    • 0 Answers

Trending

Ajira HESLB Kazini MASASI MDAs & LGAs Mshahara SIKONGE TPA Usaili Utumishi

Explore

© 2025 Makala 360. All Rights Reserved
Created by Makala360