
Nafasi za kazi Halmashauri za Tanzania Serikalini 2025 zimetangazwa ajira mpya zaidi ya 12000 PDF Kwa mujibu wa kibali cha ajira mbadala cha tarehe 29.04.2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Wakurugenzi watendaji wa Halmashauri mbalimbali wanawatangazia nafasi za kazi Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi zifuatazo:-
POST | Nafasi za Kazi Mbalimbali |
EMPLOYER | Halmashauri za Wilaya Mbalimbali |
APPLICATION TIMELINE: | 2025-06-01 Mpaka 2025-06-28 |
Angalia matangazo mapya hapa ya kuitwa kwenye usaili, walioitwa kazini Utumishi.