Nafasi za Kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025. Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo:-

Ajira mpya zilizotamgazwa
1. Dereva – Nafasi 7
- Awe amehitimu kidato cha nne (IV) na kupata Cheti cha Mtihani wa Kidato cha Nne(IV). Awe na leseni daraja ‘C’ au “E” ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendeshaJAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAISTAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAAHALMASHAURI YA WILAYA YA MVOMEROHalmashauri ya Wilaya Mvomero, S.L.P. 663, Morogoro, Simu: +255232934348, Nukushi: +2552334348,Barua pepe: ded@mvomerodc.go.tz, tovuti: http://www.mvomerodc.go.tzmagari kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali, Aweamehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji Magari (Basic Driving Course)yanayotolewa na chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kinginekinachotambuliwa na Serikali.
2. Msaidizi wa Kumbukumbu – Nafasi 2
- Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Utunzaji wa kumbukumbu kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.
Jinsi ya kutuma maombi
Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa na ielekezwe kwa anuani ya Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, S.L.P 663 MOROGORO.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’).
Soma zaidi:-