
POST | TABIBU MSAIDIZI DARAJA LA II(CLINICAL ASSISTANT II) – 582 POST |
EMPLOYER | MDAs & LGAs |
APPLICATION TIMELINE: | 2025-06-13 2025-06-26 |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.Kutoa huduma za kinga na tibaii.Kutambua na kutibu magonjwaiii.Kutoa huduma ya Afya ya msingi (Primary Health Care)i.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye Cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha IV ambao wamehitimu Mafunzo ya Miaka Miwili ya Tabibu Wasaidizi (Clinical Assistants Certificate). |
REMUNERATION | TGHS A |