
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi masasi 16-06-2025 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili 2025 kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika Ikama na bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025. Hivyo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi hizo kama ifuatavyo:-
EMPLOYER | Halmashauri ya Mji wa Masasi |
APPLICATION TIMELINE: | 2025-06-16 2025-06-29 |
1. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 4 POST
2. MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 5 POST
MUIHIMU: Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira kupitia anwani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa (‘Recruitment Portal’)
Msaidizi wa kumbukumbu