
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Sikonge 16-06-2025 Mkurugenzi amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/25 cha tarehe 29.04.2025 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kufuatia kibali hicho Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Sikonge anakaribisha maombi kwa watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za kazi zifuatazo :-
EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge |
APPLICATION TIMELINE: | 2025-06-16 2025-06-29 |
Ajira mpya zilizotangazwa
1. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 4 POST
2. MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 5 POST
Maombi yote ya kazi yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz (Anuani hii pia inapatikana kwenye Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa “Recruitment Portal”