Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Makala 360

Makala 360

Makala 360 Navigation

Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask A Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 735
Next

Makala 360 Latest Questions

Memo
  • 0
  • 0
MemoTeacher
Asked: May 29, 20252025-05-29T19:32:20+03:00 2025-05-29T19:32:20+03:00In: Fursa

Walioitwa Kazini Chuo Kikuu cha UDSM 2025

  • 0
  • 0

Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 15 hadi 17 Mei, 2025 kuwa, majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyo orodheshwa katika tangazo hili.

Walioitwa Kazini Chuo Kikuu cha UDSM 2025

Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jengo la Utawala, Ofisi ya Masjala, Chumba Na. 315 siku ya Jumatatu, tarehe 2 Juni, 2025 kuanzia saa tatu kamili asubuhi, wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili ziweze kuhakikiwa kabla ya kupewa barua za ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Nyaraka za kuwasilisha ni kama ifuatavyo

  • Vyeti halisi (Original Certificates and Transcripts) na nakala mbili za vyeti hivyo ambazo zimethibitishwa na Mamlaka za kisheria ( certified by Advocate/Magistrate) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea;
  • Cheti cha kuzaliwa;
  • Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA); na
  • Picha ndogo nne za rangi (four coloured passport size photographs)

Pakua PDF hapa

  • 0 0 Answers
  • 0 Followers
  • 0
  • Share
    Share
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
    • Share on LinkedIn
    • Share on WhatsApp
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

Sidebar

Related Questions

  • OFFICE ASSISTANT II - 16 POST TPA

    • 0 Answers
  • SECURITY GUARD II - 50 POST TPA

    • 0 Answers
  • PLANNING OFFICER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • HYDROGRAPHER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • DIVER II - 5 POST TPA

    • 0 Answers

Trending

Ajira HESLB Kazini MASASI MDAs & LGAs Mshahara SIKONGE TPA Usaili Utumishi

Explore

© 2025 Makala 360. All Rights Reserved
Created by Makala360