Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Makala 360

Makala 360

Makala 360 Navigation

Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask A Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 739
Next

Makala 360 Latest Questions

Memo
  • 0
  • 0
MemoTeacher
Asked: May 30, 20252025-05-30T15:46:47+03:00 2025-05-30T15:46:47+03:00In: Fursa

Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal 30 May 2025

  • 0
  • 0

Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Ajira Portal 30 May 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-09-2024 na tarehe 05-04-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal 30 May 2025

Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Nyaraka za kuwasilisha ni kama ifuatavyo

  • Vyeti halisi (Original Certificates and Transcripts) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea;
  • Cheti cha kuzaliwa;
  • Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA); na
  • Picha ndogo nne za rangi (four coloured passport size photographs).

Pakua PDF hapa

  • 0 0 Answers
  • 0 Followers
  • 0
  • Share
    Share
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
    • Share on LinkedIn
    • Share on WhatsApp
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

Sidebar

Related Questions

  • OFFICE ASSISTANT II - 16 POST TPA

    • 0 Answers
  • SECURITY GUARD II - 50 POST TPA

    • 0 Answers
  • PLANNING OFFICER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • HYDROGRAPHER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • DIVER II - 5 POST TPA

    • 0 Answers

Trending

Ajira HESLB Kazini MASASI MDAs & LGAs Mshahara SIKONGE TPA Usaili Utumishi

Explore

© 2025 Makala 360. All Rights Reserved
Created by Makala360