Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Shahidi wa Maji kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo kujaza ajira mpya hizi.
Makala 360 Latest Questions
Kiwango cha Mshahara wa Engineer II – Marine Mhitaji awe na Shahada ya Kwanza katika mojawapo ya fani zifuatazo: Uhandisi wa Meli, Ubunifu wa Meli, Uhandisi wa Mitambo ya Kusukuma Meli, Uhandisi wa Umeme wa Meli au fani ...
Kiwango cha Mshahara wa Assistant Tutor II – Refrigerator Engineering Mhitaji awe na Diploma ya Kawaida (NTA ngazi ya 6) katika Uhandisi wa Meli na Majokofu kutoka chuo kinachotambulika.
Kiwango cha Mshahara wa Assistant Tutor II – Marine Engineering Mhitaji awe na Diploma ya Kawaida (NTA ngazi ya 6) katika Uhandisi wa Meli kutoka chuo kinachotambulika.
Mshahara wa Assistant Tutor II – Mechanical Engineering Mhitaji awe na Diploma ya Kawaida (NTA ngazi ya 6) katika Uhandisi wa Mitambo kutoka chuo kinachotambulika.