Mshahara wa Assistant Tutor II – Master Fisherman Mhitaji awe na Diploma ya Kawaida (NTA ngazi ya 6) katika Uvuvi wa Kitaalamu kutoka chuo kinachotambulika.
Makala 360 Latest Questions
Mshahara wa Tutor II – Food Science Mhitaji awe na Shahada ya Kwanza (NTA 8) ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia kutoka chuo kinachotambulika. Mwombaji anatakiwa kuwa na wastani wa alama (GPA) usiopungua 3.0 kati ya 5.0 katika ...
Form Five Selection Majina 2025 waliochaguliwa kidato cha tano 2025 Kwanza kabisa, hongera sana kwa wote mliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka 2024! Kama umehitimu na unangoja shule walizopangiwa kujiunga na kidato cha tano 2025/2026, basi habari ...
Nafasi za Kazi Wilaya ya Kigoma Mei 2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, kwa kushirikiana na Shirika la Tanzania Health Promotion Support (THPS) kupitia Mradi wa Afya Hatua, wanakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa, ...
Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Ofisi ya Rais – TAMISEMI, majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati kwa mwaka wa masomo 2025/2026 shule walizopangiwa walizochaguliwa kujiunga nazo PDF.