Mwongozo huu wa upimaji umeandaliwa kwa lengo la kuwajengea uwezo walimu wanaofundisha Shule za Msingi kuhusu namna ya kuboresha upimaji katika mchakato mzima wa ufundishaji na ujifunzaji. Mwongozo huu unaonesha namna upimaji wa maendeleo ya wanafunzi unavyotakiwa kufanyika ili kupata ...
Home/Mwongozo