Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2025, PSRS

Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2025, PSRS

  • Posted by:
  • Posted on:
  • Category:
    AjiraAjira
  • System:
    Unknown
  • Price:
    USD 0

Leo katika makala 360, Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2025, PSRS Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote waliopata nafasi ya kushiriki usaili kwa kada mbalimbali kati ya tarehe 03/09/2024 hadi 05/04/2025 kuwa matokeo ya waliofaulu usaili huo yamechapishwa kupitia tangazo hili.

Kuitwa kazini Ajira Portal

Tangazo hili linaorodhesha majina ya waombaji kazi waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali na sasa wamepangiwa vituo vya kazi kutokana na upatikanaji wa nafasi.

Jinsi ya Kupata Barua za Kupangiwa Kazi

Waombaji wote waliofaulu na kupangiwa kazi wanapaswa:

  • Kufungua akaunti zao za Ajira Portal
  • Kwenye sehemu ya “My Applications”
  • Kupakua (Download) na Kuchapisha (Print) barua zao za kupangiwa kazi
  • Kuripoti kazini kwa kutumia barua hizo

Walioitwa kazini Utumishi, Ajira Portal

Wale wote waliopangiwa vituo vya kazi wanapaswa:

  • Kuripoti kwa Mwajiri ndani ya muda uliobainishwa katika barua zao
  • Wakiwa na vyeti halisi vya taaluma kuanzia kidato cha nne na kuendelea kwa ajili ya kuhakikiwa kabla ya kupewa barua ya ajira rasmi

Kwa Waliokosa Nafasi

Kwa waombaji ambao majina yao hayapo kwenye tangazo hili, tunapenda kuwataarifu kuwa hawakufaulu katika usaili huu. Hata hivyo, wasikate tamaa; wanaalikwa kuendelea kuomba nafasi nyingine za kazi pindi zitakapotangazwa.

Angalia orodha ya majina hapa.

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawapongeza waliofaulu na kuwakaribisha rasmi katika utumishi wa umma wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Soma makala zaidi:

  1. Nafasi za Kazi ITM Tanzania 2025
  2. Nafasi za Kazi Bagamoyo Sugar Tanzania 2025
  3. Nafasi za Kazi ESRF 2025
  4. Matokeo ya Usaili wa TRA Angalia hapa 26/04/2025
  5. Jinsi ya Kutuma Malalamiko Matokeo ya Usaili TRA 2025 Angalia hapa
Rating

4.3

( 4 Votes )
Please Rate!
Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2025, PSRS

No votes so far! Be the first to rate this post.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *