Walioitwa Kazini TARURA 2025

Walioitwa Kazini TARURA 2025

  • Posted by:
  • Posted on:
  • Category:
    AjiraAjira
  • System:
    Unknown
  • Price:
    USD 0

Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa Kazini TARURA 2025 Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) anapenda kuwataarifu waombaji wote waliohudhuria usaili wa ana kwa ana kwa nafasi za INGINIA II na FUNDI II uliofanyika tarehe 07 na 08 Machi, 2025, na majina yao yanayojitokeza katika tangazo hili kuwa wamechaguliwa kuajiriwa kwa MUDA MAALUM.

Gusa picha hapa chini kuangalia majina.

Hivyo, wanatakiwa kuripoti kwa Meneja Rasilimali Watu katika Makao Makuu ya TARURA yaliyopo Jiji la Serikali Mtumba, tarehe 07 Mei, 2025 saa 3:00 asubuhi.

Waombaji ambao majina yao hayajaorodheshwa katika tangazo hili wanatakiwa kufahamu kuwa hawakufanikiwa katika usaili huo. Hivyo, wanahimizwa kuomba tena pale nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Pakua PDF hapa.

Soma zaidi:

  1. Fomu ya Kujiunga na Kidato cha Tano Shule ya Sekondari TUNDUMA TC 2025
  2. Jinsi ya kusajili Majina ya Biashara BRELA 2025
  3. Jinsi ya Kusajili Kampuni BRELA 2025
  4. Nafasi za Kazi Qatar Airways Tanzania 2025
  5. Matokeo ya Usaili Air Tanzania (ATCL) 2025
Tagged:
Rating

5

( 2 Votes )
Please Rate!
Walioitwa Kazini TARURA 2025

No votes so far! Be the first to rate this post.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *