Leo katika makala360, Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa Kwenye Usaili 2025 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 05/05/2025 hadi 08/05/2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Soma zaidi:
Leave a comment