- Posted by:
- Posted on:
- Category:
AjiraAjira - System:
Unknown - Price:
USD 0
Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa kwenye Usaili 2025 Afisa Mwandikishaji Jimbo la Bahi anapenda kuwatangazia kuwa, wafuatao wameitwa kwenye usaili wa nafasi za Waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya Bayometriki kwa ajili ya zoezi la Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili utakaofanyika siku ya tarehe 7 Mei, 2025 katika maeneo yafuatayo:-
A) Waandishi wasaidizi: Usaili utafanyika katika Ukumbi uliopo Ofisi za Mkuu wa wilaya ya Bahi
B) Waendesha vifaa vya Bayometriki: Usaili utafanyika katika Ukumbi wa Ofisi za Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Bahi
Muda wa usaili ni saa mbili kamili (2:00) asubuhi.
Orodha ya majina ya walioitwa inapatikana kwenye mbao za matangazo kwenye kila kata na kwenye tovuti ya Halmashauri au hapa chini.
Soma zaidi: