Walioitwa kazini Ajira Portal/Utumishi (Public Service Recruitment Secretariat) tembelea tovuti rasmi kupitia ajira.go.tz kuona majina ya kuitwa walimu, afya na kada zingine kazini. Kisha bofya sehemu iliyoandikwa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imetoa orodha ya majina ya waombaji wa kazi waliofanikiwa kuteuliwa na kuajiriwa katika taasisi mbalimbali za umma kupitia mfumo wa Ajira Portal.

Walioitwa wanatakiwa kuripoti kazini kwa muda uliopangwa kwenye barua zao za kupangiwa vituo vya kazi. Ni muhimu kila aliyeitwa kufuatilia barua yake kwa kutumia akaunti ya Ajira Portal ili kupata maelekezo ya kuripoti, ikiwemo tarehe rasmi, kituo cha kazi, na nyaraka zinazotakiwa. Pia, wanakumbushwa kuhakikisha wanakuwa na vyeti halisi vya taaluma na utambulisho wa kitaifa wanaporipoti kazini.
Orodha ya Muhimu kwa Walioitwa Kazini:
- Majina Kamili ya walioitwa kazini
- Taasis husika (Mfano: Wizara, Halmashauri, Wakala, nk.)
- Kituo cha Kazi walichopangiwa
- Tarehe ya Kuripoti kazini
- Maelekezo Maalum (kama vile kuwasilisha vyeti halisi, barua ya kupangiwa kazi, n.k.)
Angalia orodha kamili ya walioitwa kazini kupitia link rasmi ya Ajira Portal:
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (23-05-2025)
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (21-05-2025)
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (19-05-2025)
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (17-05-2025)
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (16-05-2025)
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (15-05-2025)
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (15-05-2025)
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (14-05-2025)
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (14-05-2025)
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (13-05-2025)
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (08-05-2025)
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (08-05-2025)
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (06-05-2025)
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (06-05-2025)
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (06-05-2025)
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (06-05-2025)
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (05-05-2025)
- TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (03-05-2025)