Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Makala 360

Makala 360

Makala 360 Navigation

Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask A Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 687
Next
In Process

Makala 360 Latest Questions

Memo
  • 0
  • 0
MemoTeacher
Asked: May 25, 20252025-05-25T17:13:29+03:00 2025-05-25T17:13:29+03:00In: Elimu

Udahili wa Ufadhili wa Wanafunzi wa Kike Program ya Msingi ya Sayansi

  • 0
  • 0

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatekeleza mradi wa miaka mitano (2021/2022- 2025/2026) wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (Higher Education for Economic Transformation (HEET)). Kupitia mradi wa HEET Wizara imetenga fedha kwa ajili ya ufadhili wa masomo katika Programu ya Msingi kwa wanafunzi wa kike waliopungukiwa na sifa kidogo za kujiunga na masomo ya elimu ya juu katika masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STUH). Programu hiyo itatolewa katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT).

Udahili wa Ufadhili wa Wanafunzi wa Kike Program ya Msingi ya Sayansi

Wanafunzi watakaohitimu na kufauli masomo katika programu hii kwa viwango vilivyowekwa watapata fursa ya kuomba udahili katika taasisi za Elimu ya juu nchini kwa kufuata taratibu zilizoainishwa na TCU, NACTIVET na chuo husika, ikiwa ni pamoja na sifa za kuomba mkopo wa masomo ya elimu ya juu kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania bara na Tanzania visiwani. Waombaji wanaotoka Mikoa ambayo kijiografia haijafaidika, walemavu, yatima, familia masikini na zinazohudumiwa na TASAF na asasi zinazotambulika watapewa kipaumbele. Maombi yaambatishe vielelezo vilivyotajwa kutoka kwa wenye mamalaka ya kutoa vielelezo hivyo kama Daktari, TASAF, RITA, serikali za mitaa pamoja na nyeti vya kuhitimu.

CKHT kinayo furaha kutangaza awamu ya kwanza kwa mwaka 2025/2026 ya nafasi za ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa kike wenye sifa zinazohitajika ili kujiunga na programu hii maalumu.

SIFA ZA KUJIUNGA
Muombaji ataweza kukubaliwa kujiunga kwenyě programu husika endapo atakuwa na vigezo vingine muhimu vifuatavyo:

  • Cheti cha Mtihani wa Elimu ya Sekondari (Kidato cha NNE) kikiwa na ufaulu angalau kwenye masomo manne ambayo yamepatikana kabla ya kufanya mtihani wa juu wa
  • Elimu ya sekondari au ufaulu unaofanania na chochote kati ya vifuatavyo:
  • Cheti cha Juu cha Mtihani wa Elimu ya Sekondari (Kidato cha SITA) kwenye masomo ya sayansi(Fizikia, Kemia,Baolojia, Hisabati, Uchumi na Jiografia) na angalau alama 1.5 kutoka kwenye masomo MAWILI
  • Diploma katika masomo ya STUH kutoka kwenye chuo kinachotambulika yenye ufaulu wa GPA ya 2.0 mpaka 2.9.
  • NTA Level 5/Professional Technician Level II Certificate.

Pakua PDF hapa chini.

  • 1 1 Answer
  • 0 Followers
  • 0
  • Share
    Share
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
    • Share on LinkedIn
    • Share on WhatsApp
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

1 Answer

  • Voted
  • Oldest
  • Recent
  1. omarysabrina94@gmail.com
    omarysabrina94@gmail.com
    2025-05-27T16:55:27+03:00Added an answer on May 27, 2025 at 4:55 pm

    Mimi ni mwanafunzi wa diploma katika masomo ya teknolojia na nahitajii kujiunga na elimu ya degree kwa ufaulu unaozidi GPA 2.9 Je naweza kunufaika na mradi huu

      • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Share on LinkedIn
      • Share on WhatsApp

Sidebar

Related Questions

  • Top Tanzania University Approved by TCU

    • 0 Answers
  • Award Verification Number (AVN) NACTVET

    • 0 Answers
  • Namba za Huduma kwa Wateja HESLB

    • 0 Answers
  • Nafasi za Kujiunga na Vyuo kwa Wanafunzi wa Kidato cha ...

    • 0 Answers
  • NECTA Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 (ACSEE)- 2025/2026 PDF

    • 0 Answers

Trending

Ajira HESLB Kazini MASASI MDAs & LGAs Mshahara SIKONGE TPA Usaili Utumishi

Explore

© 2025 Makala 360. All Rights Reserved
Created by Makala360