Majina ya waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi kwa mwaka 2025 tayari yametangazwa. Waombaji waliofanikiwa wametakiwa kuripoti katika vituo maalum vilivyopangwa kwa ajili ya kuanza mafunzo ya kijeshi.
Makala 360 Latest Questions
Shirika la Reli Tanzania (TRC) ni shirika la umma linalosimamia na kuendesha huduma za reli nchini Tanzania, likiwa na dhamira ya kutoa usafiri wa uhakika, salama na wa kisasa kwa abiria na mizigo.
Toleo la FIFA Club World Cup 2025 litakuwa la kihistoria kwani ni mara ya kwanza kabisa mashindano haya yatashirikisha vilabu 32 kutoka mabara yote. Mashindano haya makubwa ya vilabu yatafanyika nchini Marekani kuanzia tarehe 15 Juni 2025, yakiwakutanisha ...
Walioitwa kazini Ajira Portal/Utumishi (Public Service Recruitment Secretariat) tembelea tovuti rasmi kupitia ajira.go.tz kuona majina ya kuitwa walimu, afya na kada zingine kazini. Kisha bofya sehemu iliyoandikwa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala ...
Vituo/Venue vya Usaili Kada Mbalimbali May mpaka Juni 2025 Wasailiwa wote watakaofanya usaili wa mahojiano wa mwezi Mei hadi Juni, 2025 mnasisitizwa kuzingatia mpangilio wa vituo vya usaili wa mahojiano kama uliovyoainishwa kwenye kiambatisho hapo chini. Pakua PDF hapa ...
Hii hapa orodha ya Majina ya Waliochaguliwa JKT 2025 (Jeshi la Kujenga Taifa JKT) Wito wa Mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria kwa Wahitimu wa Kidato cha Sita Mwaka 2025 Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), ...