
Mwongozo kwa Waombaji wa Ajira Kupitia Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal v2.1)
Ajira Portal login Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal v2.1) 2025 kujisajili, kutuma maombi, jinsi ya kuactivate account, kujaza taarifa, kuweka vyeti, kuedit taarifa na mambo mengine mengi.
Hatua Muhimu kwa Waombaji
Hatua | Maelezo |
---|---|
Kuhakikisha taarifa binafsi | Waombaji wote wanatakiwa kuhuisha taarifa zao (update) kwa kutumia Namba ya Utambulisho wa Taifa (NIN) katika sehemu ya Personal Details. |
Taarifa za Elimu (Academic Qualification) | Taarifa za elimu lazima zihusishwe na Category husika ya kozi kwa usahihi. |
Kuangalia hali ya maombi (‘Status’) | Ingia sehemu ya ‘MY APPLICATION’ baada ya ku-login kwenye akaunti yako. Hapa utaweza: Kuona namba ya usaili kwa waliofanikiwaKuona sababu ya kutokuitwa kwa wale ambao hawakufanikiwa |
Idadi ya Nafasi za Kazi kwa Kila Kada
Kada ya Ajira | Idadi ya Nafasi |
---|---|
Accounting and Auditing | 9 |
Banking, Economics and Financial Services | 16 |
Physical & Natural Sciences | 6 |
Creative and Design | 7 |
CSE | 2 |
Education and Training | 52 |
Engineering and Construction | 52 |
Environmental Sciences and Geography | 7 |
Farming and Livestock | 28 |
Healthcare and Pharmaceutical | 45 |
HR & Administration | 55 |
International Relations | 4 |
IT and Telecoms | 38 |
Legal | 6 |
Linguistics | 16 |
Manufacturing | 1 |
Marketing, Media and Brand | 7 |
Procurement & Logistic Management | 4 |
Project, Planning and Policy Management | 6 |
Religious Studies | 2 |
Research, Science and Biotech | 12 |
Security | 0 |
Sociology, Political Science, Community and Social Development | 19 |
Statistics and Mathematics | 13 |
Taxation and Social Protection | 4 |
Tourism and Travel | 14 |
Trades and Services | 2 |
Transport and Logistics | 14 |
ACSE | 2 |
Climate Change | 1 |
Driver’s | 25 |
Land Management | 14 |
Water, Mining and Natural Resources | 20 |
Agricultural and Natural Resources | 6 |
Mwongozo wa Maombi ya Kazi
Jambo | Maelezo |
---|---|
Uraia | Waombaji wote lazima wawe raia wa Tanzania |
Vyeti vya Elimu | Lazima viambatane na nakala zilizothibitishwa (certified copies) za vyeti husika |
Rejea (Referees) | Eleza rejea tatu (3) zenye taarifa kamili na sahihi za mawasiliano |
Msaada na Mawasiliano
Huduma | Taarifa |
---|---|
Call Center | 026 216 0350 / +255 739 160 350 |
Barua Pepe | ict@ajira.go.tz / malalamiko@ajira.go.tz |
Pakua hapa Mwongozo wa Mabadiliko Katika Matumizi ya Mfumo wa Maombi ya Kazi Kujisajili katika mfumo gusa hapa. Pia, Kuingia katika mfumo bonyeza hapa nafasi za kazi mbalimbali zilizotangazwa Utumishi angalia hapa.
Kama una swali uliza sasa.
Nina changamoto nime activate account yang lkn nikijarib ku update taarifa kw namba ya nida wanaandika ishatumika nisaidieni
Hapo tembelea ofisi za Sekretariati ya ajira zilizo karibu nawe mkuu watakusaidia
Shukran kiongoz Asante sana