Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Makala 360

Makala 360

Makala 360 Navigation

Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask A Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 936
Next
In Process

Makala 360 Latest Questions

Memo
  • 0
  • 0
MemoTeacher
Asked: June 15, 20252025-06-15T14:38:16+03:00 2025-06-15T14:38:16+03:00In: Fursa

Mshahara wa Clinical Officer (CO) ni kiasi gani?

  • 0
  • 0

Wataalamu naomba kujua ni upi Mshahara wa Clinical Officer (CO) ni kiasi gani? na kozi zingine za Afya mishahara yao ikoje.

Mshahara wa Clinical Officer (CO) ni kiasi gani?

Sifa na majukumu ya Clinical Officer (CO)

KipengeleMaelezo
Majukumu ya Kazii. Kufanya kazi zote zinazofanywa na Tabibu Msaidizi
ii. Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida
iii. Kusimamia utendaji wa Watumishi walio chini yake na kufanya upasuaji mdogo
iv. Kushiriki katika kupanga na kutekeleza huduma za Afya Msingi
v. Kushauri na kuhamasisha Wananchi kuchangia huduma za afya kupitia Mfuko wa Afya ya Jamii
vi. Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma
vii. Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji
viii. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi kulingana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
Sifa za MwombajiKuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne au Sita wenye Stashahada ya Tabibu ya muda wa miaka mitatu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali
  • 1 1 Answer
  • 0 Followers
  • 0
  • Share
    Share
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
    • Share on LinkedIn
    • Share on WhatsApp
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

1 Answer

  • Voted
  • Oldest
  • Recent
  1. K12
    K12
    2025-06-15T14:43:35+03:00Added an answer on June 15, 2025 at 2:43 pm

    Mshahara wa Clinical Officer 2 ni kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali TGHS-B

      • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Share on LinkedIn
      • Share on WhatsApp

Sidebar

Related Questions

  • OFFICE ASSISTANT II - 16 POST TPA

    • 0 Answers
  • SECURITY GUARD II - 50 POST TPA

    • 0 Answers
  • PLANNING OFFICER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • HYDROGRAPHER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • DIVER II - 5 POST TPA

    • 0 Answers

Trending

Ajira HESLB Kazini MASASI MDAs & LGAs Mshahara SIKONGE TPA Usaili Utumishi

Explore

© 2025 Makala 360. All Rights Reserved
Created by Makala360