Wataalamu naomba kujua ni upi Mshahara wa Clinical Officer (CO) ni kiasi gani? na kozi zingine za Afya mishahara yao ikoje.

Sifa na majukumu ya Clinical Officer (CO)
| Kipengele | Maelezo |
|---|---|
| Majukumu ya Kazi | i. Kufanya kazi zote zinazofanywa na Tabibu Msaidizi |
| ii. Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida | |
| iii. Kusimamia utendaji wa Watumishi walio chini yake na kufanya upasuaji mdogo | |
| iv. Kushiriki katika kupanga na kutekeleza huduma za Afya Msingi | |
| v. Kushauri na kuhamasisha Wananchi kuchangia huduma za afya kupitia Mfuko wa Afya ya Jamii | |
| vi. Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma | |
| vii. Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji | |
| viii. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi kulingana na elimu, uzoefu na ujuzi wake | |
| Sifa za Mwombaji | Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne au Sita wenye Stashahada ya Tabibu ya muda wa miaka mitatu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali |
Mshahara wa Clinical Officer 2 ni kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali TGHS-B