Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Public Relation Officer Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Shahada ya Kwanza (Bachelor) katika mojawapo ya fani zifuatazo: Mawasiliano ya Umma, Uandishi wa Habari, au Mahusiano ya Umma, kutoka chuo kinachotambulika.

Pia, mwombaji atatakiwa kuhudhuria na kufaulu mafunzo ya awali ya kijeshi (recruit).
Tuma maombi hapa https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10425
I’m interested